Tuesday, March 5, 2013

DJ Fetty: SIKU CHACHE BAADA YA KUZINDUA OFISI YAKE WATU WAPANGA NJAMA KUMTEKA WEMA SEPETU

kijana mwenye umri wa miaka 26 ambaye aliekua mwenyekiti wa chama cha vijana wa ccm
CHAVITA
amekutwa akiwa amekufa katika chumba cha hoteli iliyomo mkoani arusha
jeshi la polisi linawatafuta wanawake wawili ambao waliokua na marehemu kabla mauti hayajamkuta.by nelly

Monday, March 4, 2013

DJ Fetty: SIKU CHACHE BAADA YA KUZINDUA OFISI YAKE WATU WAPANGA NJAMA KUMTEKA WEMA SEPETU

Wafanyakazi wawili wa hoteli
ya
Peacock wameithibitishia
mahakama
ya hakimu mkazi Kisutu jinsi
walivyozihakiki fedha za mtego
za
Taasisi ya kuzuia na kupambana
na
rushwa (TAKUKURU) ,alizokutwa
nazo mbunge wa Bahi mkoani
Dodoma Mheshimiwa Omari
Badwel.
Source ITV

MATAPELI SUGU

2013
utapeli upo wa kuchukua pesa
zako cash na utapeli wa
kuchukua vitu/bidhaaa
unazouza,
hawa wajamaa wamebobea
kwenye utapel wa aina zote na
wanatumia uchawi, usipokuwa
makini au kama huna taarifa hao
ni matapeli unalizwa,
nasikia hawa matapeli wa
mtongani walishatolewa hadi
kwenye tv na RPC lakini si wote
waliobahatika kuona hiyo
taarifa na hawa na mtandao
wao wanaendelea kuwaliza
watu, juzi jumatatu tumelizwa
milioni 2 na hawa mbwa,
inauma sana,
kama wewe ni mfanyabiashara,
jihadhari nao watakupigia simu
na kusema wana vitu/vifaa vya
bei rahis wanauza kisha
watakutapeli bila huruma
milions/laki zako ulizotolea jasho
lako,
ukiwa unauza vifaa/vitu
watakupigia simu na kusema
kuna mzee/kaka/baba yao
anataka na kisha kusepa navyo
na kubaki unashangaa
watakupigia simu watakuambia
ushuke mtonngani, ukishuka
watakuambia uchukue pikipiki
hadi msikiti wa kichangani, hapo
utapelekwa kwenye nyumba
moja fulani hivi amabayo ni
nzuri kidogo kulinganisha na
nyumba za jirani,
nasikia ukiingia tu humu ndani
lazima ulizwe, nasikia
wameweka dawa hapo
mlangoni, na hii nyumba
wanaitumia kama ofis yao ya
kuwatapeli watu hawaish hapo
wala kulala hapo, kwahiyo
kuwapata ni ngumu sana,
Hii ndio nyumba ambayo
ukiingizwa tu lazima ulizwe, ipo
mtongani kichangani ndani
ndani

Friday, March 1, 2013

DARASA HURU

KWAKO WEWE MWANAFUNZI

NAMNA YA WEWE KUFAULU MITIANI YAKO VIZURI
wanafunzi wengi huwa nanajiuliza kwa nini huwa wanafeli mitihani yao huku ungali unasoma lakini unafeli mtihani
#jibu linapatikana hapahapa kupitia blog hii uipendayo
KUNA NJIA AMBAZO UKIZINGATIA WEWE MWANAFUNZI UNAWEZA KUFAULU MITIHANI YAKO
1.unapoingia kwenye mtihani jaribu kumuomba mungu wako
)kama wewe ni mkristo muombe mugu na kama wewe ni muislamu vilevile fanya hivyo najua hakuna m2 asiyeabudu.
2.soma maelekezo ya mtiani vizuri hapa ndio watu hufeli mitiani yao
unapoingia kwenye mtiani soma kwa makini maelekeo ya mtihani wako unaweza ukambiwa usifanye mtihani we kwasababu hukusoma maelekezo utafeli mtiani xo kuwa makin
kwa stori zaidi
kivambanelson@gmail.com

new!story mpya ya sumu ya penzi itapatikana hapa

yeah watu wangu story mpya ya sumu ya penzi itakua hiv soon mwezi huu hapa wa tatu so u ar wellcome kwa mavitu ya ukweli by nelly

nilijiunga free mason tangu nilipokua na miaka saba7 ep ya 2b

Ni matumaini yangu u mzima wa afya na buheri
napenda nikualike katika story hii leo sikuya ijumaa mwanzo wa mwezi ikiwa ni tarehe 1 ya mwezi wa tatu mwaka 2013

TULIPOISHIA TOLEO LILILOPITA....
yule baba nilie msalimia wakati natoka shule hakuitika ila nilipofika umbali wa hatua nne akaniita na kuniambia mwanangu wewe ni m2 muhimu sana nikashindwa kuelewa kwa nini ananiambia mimi nimtu muhimu na mimi ni mtoto
nikamuuliza kwa nini unasema hivyo akaniambia usiwe na wasiwasi kwani mimi nitakuongoza mpaka kumaliza safari yangu na akaniambia na leo ndo tunanza kazi yetu kumbuka kama nilivyo kuaahidi utakua m2 mwenye nguvu sana

Saturday, February 23, 2013

NILIJIUNGA FREMASON TANGU NILIVYOKUA NA MIAKA 7 EP 1

nilitokea katika familia yenye kumcha mungu nilikua wa kwanza kuzaliwa
nikifuatiwa na wadogo zangu wawili

maisha yalikua mazuri yenye upendo ila nilikua na bahati kwa sababu wazazi wangu walinipenda na hata ndugu zangu walinipenda ikafikia wakati ndugu zangu walitaka waishi na mimi
nilizaliwa mbeya mwaka 1993 februari katika husipitali ya mkoa wa mbeya nilianza shule katika mkoa wa moshi
ambamo wazazi wangu walihamia mkoan moshi kwaajili ya kutafuta maisha ambamo tulijenga nyumba yetu huko nilianza darasa la kwanza mwaka 1999 katika shule iitwayo LANGONI PRIMARY SCHOOL
nilisoma mpaka drasa la tatu ambamo mauzauza na vimbwanga vilianzia hapo.

Ilikua jumatatu usiku ambamo nilikua nimelala na mdogo wangu mara nikaota ndoto mbaya sana nikasikia sauti ikiniambia '' we ni mtu muhimu sana kwetu hivyo inabidi uwe mfalme wa kuzimu na mamlaka yote ya roho. Mara nikashtka kutoka usingizini Nilogopa sana sikuelewa ndoto ile inamaanisha nini...fuatilia story hii je nini kitatokea?

Gazeti La Makorokocho: DOKTA MANYAU NYAU AAHIDI KUM'BADILISHA NYETI ALIYEMZUSHIA KIFO

Gazeti La Makorokocho: DOKTA MANYAU NYAU AAHIDI KUM'BADILISHA NYETI ALIYEMZUSHIA KIFO

NILIJIUNGA FREE MARSON TANGU NILIVYOKUA NA MIAKA SABA EP 1

hii ni story ambayo utaipata hapa katika link hii ambayo itaanza hivi karibuni kwaiyo kaa mkao wa kula kuipata story hii ikielezea jinsi kijana john alivyo pata matatizo fuatana nami katika
stori h?! Na ya kusisimua

DJ Fetty: MWANA FA AANZISHA LIFE LINE INC

DJ Fetty: MWANA FA AANZISHA LIFE LINE INC

DJ Fetty: JCB AFUNGA NDO NA MCHUMBA WAKE DIANA JORGENSEN

DJ Fetty: JCB AFUNGA NDO NA MCHUMBA WAKE DIANA JORGENSEN

Friday, February 22, 2013

DJ Fetty: ZITTO: WAZIRI NAIBU WAKE KATIBU MKUU WA WIZARA NA KAMISHNA WA ELIMU LAZIMA WAONDOKE

timu ya manchester united ya zidi kukamua kileleni huku mabingwa wao watetez manchester city wakizidi kushika nafasi ya pili huku wakichuana vikali na mabingwa man utedi nani atashika nafasi ya kwanza huku man u ikiwa na pont 62 huku manchester city ikiwa na point 53 chelsea nayo moto una waka wakililia nafasi ya pili

DJ Fetty: ZITTO: WAZIRI NAIBU WAKE KATIBU MKUU WA WIZARA NA KAMISHNA WA ELIMU LAZIMA WAONDOKE

DJ Fetty: ZITTO: WAZIRI NAIBU WAKE KATIBU MKUU WA WIZARA NA KAMISHNA WA ELIMU LAZIMA WAONDOKE

new!new!new!

KAA MKAO WA KULA KUPATA NGOMA MPYA YA MTU MZIMA NA POPE NA NONINI

MWANAFUNZI ALIYEFELI KATIKA KIDATO CHA NNE AJINYONGA MKOANI ARUSHA

nelly: Imethibitishwa kutokea mkoni arusha jana saa mbili jioni mwanafunzi ajulikanae kwa jina la HEMEDI MOLEL amejinyonga baada ya kuwa na matokeo mabaya yani division 0
mama mzazi wa mtoto huyo amesema kuwa mwanae alikua mpole na mkarimu ila ameshangazwa na uamuzi aliouchukua mwanae huyo

Nelson RECHO ATOA UFAFANUZI JUU YA PICHA HII

DJ Fetty: RECHO ATOA UFAFANUZI JUU YA PICHA HII

INASIKITISHA

jamani watanzania 2badilike na hasa katika suala la imani za kishirikina by nelson m kivamba

DJ Fetty: WEMA ATAMBULISHA RASMI OFISI YAKE MPYA "ENDLESS FAME FILM"

DJ Fetty: WEMA ATAMBULISHA RASMI OFISI YAKE MPYA "ENDLESS FAME FILM"

DJ Fetty: DIAMOND: SIMU ILIYOIBIWA IMESABABISHA KUVUJA KWA NGOMA YANGU "UKIMUONA"

DJ Fetty: DIAMOND: SIMU ILIYOIBIWA IMESABABISHA KUVUJA KWA NGOMA YANGU "UKIMUONA"