Friday, March 1, 2013

nilijiunga free mason tangu nilipokua na miaka saba7 ep ya 2b

Ni matumaini yangu u mzima wa afya na buheri
napenda nikualike katika story hii leo sikuya ijumaa mwanzo wa mwezi ikiwa ni tarehe 1 ya mwezi wa tatu mwaka 2013

TULIPOISHIA TOLEO LILILOPITA....
yule baba nilie msalimia wakati natoka shule hakuitika ila nilipofika umbali wa hatua nne akaniita na kuniambia mwanangu wewe ni m2 muhimu sana nikashindwa kuelewa kwa nini ananiambia mimi nimtu muhimu na mimi ni mtoto
nikamuuliza kwa nini unasema hivyo akaniambia usiwe na wasiwasi kwani mimi nitakuongoza mpaka kumaliza safari yangu na akaniambia na leo ndo tunanza kazi yetu kumbuka kama nilivyo kuaahidi utakua m2 mwenye nguvu sana

No comments:

Post a Comment