Tuesday, March 5, 2013

DJ Fetty: SIKU CHACHE BAADA YA KUZINDUA OFISI YAKE WATU WAPANGA NJAMA KUMTEKA WEMA SEPETU

kijana mwenye umri wa miaka 26 ambaye aliekua mwenyekiti wa chama cha vijana wa ccm
CHAVITA
amekutwa akiwa amekufa katika chumba cha hoteli iliyomo mkoani arusha
jeshi la polisi linawatafuta wanawake wawili ambao waliokua na marehemu kabla mauti hayajamkuta.by nelly

Monday, March 4, 2013

DJ Fetty: SIKU CHACHE BAADA YA KUZINDUA OFISI YAKE WATU WAPANGA NJAMA KUMTEKA WEMA SEPETU

Wafanyakazi wawili wa hoteli
ya
Peacock wameithibitishia
mahakama
ya hakimu mkazi Kisutu jinsi
walivyozihakiki fedha za mtego
za
Taasisi ya kuzuia na kupambana
na
rushwa (TAKUKURU) ,alizokutwa
nazo mbunge wa Bahi mkoani
Dodoma Mheshimiwa Omari
Badwel.
Source ITV

MATAPELI SUGU

2013
utapeli upo wa kuchukua pesa
zako cash na utapeli wa
kuchukua vitu/bidhaaa
unazouza,
hawa wajamaa wamebobea
kwenye utapel wa aina zote na
wanatumia uchawi, usipokuwa
makini au kama huna taarifa hao
ni matapeli unalizwa,
nasikia hawa matapeli wa
mtongani walishatolewa hadi
kwenye tv na RPC lakini si wote
waliobahatika kuona hiyo
taarifa na hawa na mtandao
wao wanaendelea kuwaliza
watu, juzi jumatatu tumelizwa
milioni 2 na hawa mbwa,
inauma sana,
kama wewe ni mfanyabiashara,
jihadhari nao watakupigia simu
na kusema wana vitu/vifaa vya
bei rahis wanauza kisha
watakutapeli bila huruma
milions/laki zako ulizotolea jasho
lako,
ukiwa unauza vifaa/vitu
watakupigia simu na kusema
kuna mzee/kaka/baba yao
anataka na kisha kusepa navyo
na kubaki unashangaa
watakupigia simu watakuambia
ushuke mtonngani, ukishuka
watakuambia uchukue pikipiki
hadi msikiti wa kichangani, hapo
utapelekwa kwenye nyumba
moja fulani hivi amabayo ni
nzuri kidogo kulinganisha na
nyumba za jirani,
nasikia ukiingia tu humu ndani
lazima ulizwe, nasikia
wameweka dawa hapo
mlangoni, na hii nyumba
wanaitumia kama ofis yao ya
kuwatapeli watu hawaish hapo
wala kulala hapo, kwahiyo
kuwapata ni ngumu sana,
Hii ndio nyumba ambayo
ukiingizwa tu lazima ulizwe, ipo
mtongani kichangani ndani
ndani

Friday, March 1, 2013

DARASA HURU

KWAKO WEWE MWANAFUNZI

NAMNA YA WEWE KUFAULU MITIANI YAKO VIZURI
wanafunzi wengi huwa nanajiuliza kwa nini huwa wanafeli mitihani yao huku ungali unasoma lakini unafeli mtihani
#jibu linapatikana hapahapa kupitia blog hii uipendayo
KUNA NJIA AMBAZO UKIZINGATIA WEWE MWANAFUNZI UNAWEZA KUFAULU MITIHANI YAKO
1.unapoingia kwenye mtihani jaribu kumuomba mungu wako
)kama wewe ni mkristo muombe mugu na kama wewe ni muislamu vilevile fanya hivyo najua hakuna m2 asiyeabudu.
2.soma maelekezo ya mtiani vizuri hapa ndio watu hufeli mitiani yao
unapoingia kwenye mtiani soma kwa makini maelekeo ya mtihani wako unaweza ukambiwa usifanye mtihani we kwasababu hukusoma maelekezo utafeli mtiani xo kuwa makin
kwa stori zaidi
kivambanelson@gmail.com

new!story mpya ya sumu ya penzi itapatikana hapa

yeah watu wangu story mpya ya sumu ya penzi itakua hiv soon mwezi huu hapa wa tatu so u ar wellcome kwa mavitu ya ukweli by nelly

nilijiunga free mason tangu nilipokua na miaka saba7 ep ya 2b

Ni matumaini yangu u mzima wa afya na buheri
napenda nikualike katika story hii leo sikuya ijumaa mwanzo wa mwezi ikiwa ni tarehe 1 ya mwezi wa tatu mwaka 2013

TULIPOISHIA TOLEO LILILOPITA....
yule baba nilie msalimia wakati natoka shule hakuitika ila nilipofika umbali wa hatua nne akaniita na kuniambia mwanangu wewe ni m2 muhimu sana nikashindwa kuelewa kwa nini ananiambia mimi nimtu muhimu na mimi ni mtoto
nikamuuliza kwa nini unasema hivyo akaniambia usiwe na wasiwasi kwani mimi nitakuongoza mpaka kumaliza safari yangu na akaniambia na leo ndo tunanza kazi yetu kumbuka kama nilivyo kuaahidi utakua m2 mwenye nguvu sana