Saturday, February 23, 2013

NILIJIUNGA FREMASON TANGU NILIVYOKUA NA MIAKA 7 EP 1

nilitokea katika familia yenye kumcha mungu nilikua wa kwanza kuzaliwa
nikifuatiwa na wadogo zangu wawili

maisha yalikua mazuri yenye upendo ila nilikua na bahati kwa sababu wazazi wangu walinipenda na hata ndugu zangu walinipenda ikafikia wakati ndugu zangu walitaka waishi na mimi
nilizaliwa mbeya mwaka 1993 februari katika husipitali ya mkoa wa mbeya nilianza shule katika mkoa wa moshi
ambamo wazazi wangu walihamia mkoan moshi kwaajili ya kutafuta maisha ambamo tulijenga nyumba yetu huko nilianza darasa la kwanza mwaka 1999 katika shule iitwayo LANGONI PRIMARY SCHOOL
nilisoma mpaka drasa la tatu ambamo mauzauza na vimbwanga vilianzia hapo.

Ilikua jumatatu usiku ambamo nilikua nimelala na mdogo wangu mara nikaota ndoto mbaya sana nikasikia sauti ikiniambia '' we ni mtu muhimu sana kwetu hivyo inabidi uwe mfalme wa kuzimu na mamlaka yote ya roho. Mara nikashtka kutoka usingizini Nilogopa sana sikuelewa ndoto ile inamaanisha nini...fuatilia story hii je nini kitatokea?

No comments:

Post a Comment